Diamond Platinumz akiwa na Meneja wake, Babu Tale. Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imemtaka meneja wake kutoa nyaraka zinazoonyesha Mikataba ya Diamond ndani ya siku saba (7). Inaelekea kuna jambo haliko sawa! CHANZO: JAMIIFORUMS
Post a Comment