ad

ad

MSANII WA BONGO MUVI ADUNGWA MIMBA


MSANII wa filamu Bongo, Mary Mawigi.
Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan/ijumaawikienda
MSANII wa filamu Bongo, Mary Mawigi imebainika kuwa amenasa ujauzito ambao tayari una umri wa miezi minne.Chanzo makini kilipenyeza kuwa ujauzito huo ni wa mchezaji mmoja wa soko Bongo (jina kapuni) lakini alipotafutwa mwigizaji huyo aliruka viunzi.
“Ni kweli nina mimba  na ina miezi minne lakini siyo ya huyo mchezaji mnayenitajia na watu wanavyosema, baba mtoto yupo lakini siwezi kumuweka wazi kwa sasa, nimeamua kuzaa kwa sababu maisha yanaenda mbele hayarudi nyuma,” alisema Mary.

No comments

Powered by Blogger.