SAKATA LA ESCROW: OFISA WA IKULU AHOJIWA NA TUME YA MAADILI
OFISA wa Ikulu, Rajabu
Shaaban, leo amehojiwa na Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma iliyo
chini ya Mwenyekiti Jaji Hamis Msumi kuhusu sh. milioni 80 alizoingiziwa
kwenye akaunti yake iliyo Mkombozi Bank kutoka kwa James Rugemalira.
Kikao hicho kimeahirishwa hadi tarehe 13 mwaka huu ili mamlaka husika
ziweze kutoa maamuzi.
(Habari/Picha: Dennis Mtima)
Post a Comment