ad

ad

MAJONZI MSIBANI NYUMBANI KWA KOMBA

 
Makazi ya marehemu John Komba, Mbezi Tangi Bovu jijini Dar

...waombolezaji wakilia kwa uchungu nyumbani kwa marehemu

...masikitiko na kilio kwa mjane wa marehemu, Bi. Salome Komba
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi akimfariji mke wa marehemu, Salome komba

....ni kilio na huzuni kubwa kwa Malkia wa Tarabu Khadija Kopa, ambaye alikuwa chini ya Komba katika kikundi cha taarabu cha TOT

Wabunge wa Chadema, Joseph Mbilinyi 'Sugu' (kushoto) na Godbless Lema (kulia) wakizungumza na Mhe. William Lukuvi msibani
 
Mtoto wa marehemu Kapteni John Komba (katikati) akitolewa ndani kutokana na matatizo aliyonayo ya moyo.

Ndugu wa marehemu Kapteni John Komba wakilia kwa uchungu.

Mke mdogo wa marehemu wa kwanza (kushoto) akilia kwa uchungu
(PICHA NA DENIS MTIMA/GPL)

No comments

Powered by Blogger.