WASAFI CLASSIC WAJINAFASI NDANI YA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS LEO
asafi Classic wakiwa katika pozi la pamoja ndani ya studio za Global TV Online.
Vijana wanaounda Kundi la Wasafi Classic linaloongozwa na Diamond Platnumz wakiwasili katika ofisi za Global Publishers Ltd leo.
Wasafi Classic wakiwa ndani ya ofisi za Global Publishers.
Mose Iyobo (kulia) akiwa na mwenzake kwenye ofisi za GPL.
Wasafi Classic wakipitia baadhi ya magazeti ya Global.
Mose Iyobo akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari wa Global.
Mmoja wa memba wa Wasafi akiongea na wanahabari.
Mtaalamu wa kamera kutoka Global TV Online, Patrick Buzohera.
Mmoja wa Viongozi wa Wasafi Classic, Babu Tale akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari wa Global.
Wanahabari wa Global wakiwasikiliza Wasafi Classic.
Wasafi Classic wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanahabari.
Babu Tale na vijana wake wakiondoka katika ofisi za GPL.
Vijana wa Kundi la Wasafi Classic wakiwa nje ya ofisi za Global baada ya ziara yao.
(PICHA NA MUSA MATEJA / GPL)
Post a Comment