BEYONCE NI KWELI ANAUJAUZITO? JIONEE HAPA
Queen Bey 'Beyonce' ameweka picha mtandaoni iliyopelekea mashabiki
wa familia ya The Carters kupigia mstari kuwa Anategemea mtoto wa pili
na rappa Jay Z.
Shabiki mmoja aliandika “Pregnant?” na mwingine akaandika “Very creative announcement.” Mwanzoni mwa wiki hii mtoto wake Blue alisheherekea siku yake ya kuzaliwa.

Post a Comment