Umati wa mashabiki wa burudani wakisherehekea Mwaka Mpya 2015. Tunda Man akiwapagawisha mashabiki Dar Live. Tunda Man akicheza na shabiki wake. Ilikuwa ni nyomi ya kufa mtu. Tunda Man na Chid Benz wakiwapa mzuka mashabiki.
Post a Comment