ad

ad

HAPPY NEW YEAR 2015, TUNAWATAKIA MWAKA MPYA MWEMA


Timu nzima ya 2jiachie.com tuna watakia wasomaji wetu mwaka mpya mwema tukae kwa amani na upendo na tuweke malengo ya mwaka huu 2015.

Asanteni kwa kuwa na sisi kwa mwaka 2014 tuendelee kuwa pamoja hapa hapa.

Tunapenda kutoa Asante zetu tuma picha zako za harusi, bethidei na matukio mbalimbali katika email hii 2jiachie@gmail.com
ZITAWEKWA  KATIKA WEBSITE HII

No comments

Powered by Blogger.