THT WANATIMIZA MIAKA 10 LEO, WATAFANYA SHOO YA KUFA MTU KUADHIMISHA UKUMBI WA ESCAPE ONE
Rachael Mapenzi.
Esterlina Sanga ‘Linah’.
Mwasiti Almasi.
Amini Mwinyimkuu.
Elias Barnabas a.k.a Barnaba.
WASANII kibao waliovumbuliwa katika Jumba la Kukuza
na Kuibua Vipaji (THT) leo wanatarajiwa kufanya shoo ya kufa mtu katika
kuadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwa THT ndani ya Ukumbi wa Escape
One.Miongoni mwa mastaa ambao ni zao la THT ni Mwasiti, Amini, Ditto, Mataluma, Linah, Msami, Recho, Barnaba, Kadjanito na wengine kibao ambapo shoo inatarajiwa kuanza jioni hii.
Post a Comment