Equitorial Guinea yatoka sare na Burkina Fasso
Burkina Fasso wamepiga chuma cha
goli mara mbili na hivyobasi kuzuiwa na Equitorial Guinea katika sare ya
kwanza ya 0-0 katika michuano ya mataifa ya Afrika.
Wachezaji wa Burkinabe pia karibia wafunge baada ya kipindi cha kwanza wakati Jonathan Pitroipa aliposhindwa kufunga krosi .
Mchezaji wa Equitorial Guinea Doualla alikosa bao la wazi alipopiga juu akiwa katika eneo la hatari.
Post a Comment