BREAKING NEWS: LIPUMBA AKIMBIZWA HOSPITALI
Mwenyekiti wa CUF, Prof Ibrahim Lipumba.
Mwenyekiti
wa CUF, Prof Ibrahim Lipumba amekimbizwa leo Hospitali ya UN Clinic ya
Kinondoni, Dar, baada ya presha kushuka akiwa makao makuu ya polisi
kujibu shutuma za kuandamana jana.
(HABARI: DENIS MTIMA/GPL)
Post a Comment