ad

ad

UWOYA AMWAGIWA NDOO NZIMA YA MAJI -SIKU YAKE YAKUZALIWA


 Jana  ilikiwa ni siku ya kuzaliwa ya mwigizaji wa filamu, Irene Uwoya katika hali asiyoitalajia alijikuta akimwagiwa ndoo mzima ya maji ya baridi  jana usiku huku akiimbiwa wimbo wa “Happy Birhday”.

Ndoo hiyo ya maji alimwagiwa na mwigizaji mwenzake Kajala nakushangiliwa na wenzake akiwemo Wolper.

Leo Uwoya aliandika bandiko hili mtandaoni

“Yani sina chakusema mlicho nifanya janaaa!asanteni sana nawapenda wote ila Kajala maji yalikuwa ya baridiii”  Kisha akaweka kipande kifupi cha video cha tukio hilo.

Kajala nae aliweka picha hiyo mtandaoni na kui-caption

“Hbd my lv wamemmwagia maji adi dhambi maskini nakutakia maisha mema yenye baraka tele”.

Ni vijimambo tu!!

No comments

Powered by Blogger.