ad

ad

FALCAO NITAENDELEA KUBAKI MAN UTD


redemal

Radamel Falcao: ‘Lengo langu ni kuendelea kubaki katika klabu hii, ninaongea sana na kocha na ninaelewa falsafa yake. Nimekuwa na majeruhi lakini sasa nakaribia fiti 100%. Nataka kuendelea kuwa hapa lakini itabidi niangalie hali halisi ilivyo na upatikanaji wa nafasi ya kucheza kabla ya kufanya maamuzi ya moja kwa moja juu ya hatma yangu.’

CREDIT: ShaffihDauda

No comments

Powered by Blogger.