ad

ad

SHAMSA, WELLU BIFU ZITO!

STAA aliyeitendea haki Filamu ya Chausiku, Shamsa Ford na mwigizaji Wellu Sengo, wameingia kwenye bifu zito ambalo halijulikani chanzo chake.

Staa aliyeitendea haki Filamu ya Chausiku, Shamsa Ford.
Chanzo kimenyetisha habari kuwa, licha ya wawili hao kudumu kwenye urafiki kwa muda mrefu, ghafla wamebadilika na kwa sasa kila mmoja hamsemeshi mwenzake wanapokutana.
 
Mwigizaji katika tasnia ya filamu Bongo, Wellu Sengo.
Jitihada za kumpata Shamsa ili kuzungumzia ishu hiyo hazikuzaa matunda lakini Wellu alipatikana:
“Unajua mimi niliona ghafla tu mtu hazungumzi na mimi, nikaona ni bora kuheshimu mawazo yake, mimi sijamkosea lolote sasa sijui ameninunia kwa nini,” alisema Wellu.

No comments

Powered by Blogger.