HAPPY BIRTHDAY DIAMOND PLATINUMZ
Staa wa muziki wa Bongo Flava Nasibu Abdul 'Diamond Platunumz'.
Leo, Octoba 2, Staa wa muziki wa Bongo Flava Nasibu Abdul 'Diamond Platunumz' anasherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa anatimiza umri wa miaka 25.“Happy Birthday to you my original soul... ngoja nitulie kwanza ndo niandike caption maana nina mengi kwa kweli... ila jua nakupenda sana...”Ameandika Wema. Naye Shetta ameamua kumlipa fadhira ya shukurani Diamond Platinumz kwa mchango wake kwenye maendeleo ya muziki wake ikiwa ni sehemu ya kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa.

Post a Comment