LIVERPOOL HOI YASHIKWA NA EVERTON
Wachezaji wa Everton wakishangilia baada ya Phil Jagielka (kulia) kufunga dakika ya 90 dhidi ya Liverpool na kuambulia sare ya bao 1-1.
Alberto
Moreno (katikati) na Jordan Henderson (kulia) wakilalamika baada ya
kunyimwa penalti na refa Atkinson wakidai kuwa mchezaji wa Everton Barry
kashika mpira.
Steven Gerrard (kushoto) akishangilia baada ya kufunda bao dakika ya 65 kipindi cha pili.
Steven Gerrard akishangilia.

Post a Comment