ad

ad

ALIFELI VIPIMO LIVERPOOL, ARSENAL IKATUPA NDOANO, CHELSEA IMEFANIKIWA KUMNASA




Wakati Liverpool walimuona hana afya njema kwa kufeli vipimo vya afya, Chelsea imemsajili mshambuliaji Loic Remy raia wa Ufaransa.

Remy kutoka QPR ametua Chelsea kwa mkataba wa miaka minne wenye thamani wa pauni milioni 8.

Chelsea imemsajili Mfaransa huyo huku Arsenal ikiwa katika hatua za mwisho kumnasa, lakini wapi bana!

No comments

Powered by Blogger.