ad

ad

AJALI YAUA ZAIDI YA 20 LEO MUSOMA NI MABASI YA MWANZA COACH NA JUMANNE, TUNAOMBA RADHI KWA PICHA

Mabasi hayo yakiwa yamegongana


Basi la Jumanne lililokuwa linatoka Sirari kwenda Mwanza limegongana uso kwa uso na basi la Mwanza coach lililokuwa linatoka Mwanza kwenda Musoma. Ajali imetokea katika eneo la daraja la sabasaba, Musoma.  Endelea kufuatilia 
Maelezo kwa Mujibu wa Father Kidevu blog

No comments

Powered by Blogger.