MH. NASSARY ASHIRIKI KAZI ZA MIKONO NA WANANCHI KWA UJENZI WA BARABARA
Mbunge
wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassary (anaeonekana kunyanyua
kitu) akishirikiana na baadhi ya Wananchi wa vijiji vya Ushili na Sura
Arumeru Mashariki kuchimba sehemu inayotakiwa kupita barabara ya
Sawmill- Ushili mpaka Sura.
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassary akiendelea na kazi hiyo kwa kushirikiana na Wananchi wake.
Mapumziko kwa chakula cha mchana mara baada ya kuchapa kazi ya kutengeneza barabara.
Post a Comment