WADADA WA UKWELI WAJIACHIA INSTAGRAM PARTY
| Warembo alikuwa wamependeza kila idara mambo yalikuwa safi na ukodak kuchukua nafasi yake. |
| Warembo walivyo kuwa wamejiachia kiroho safi usiku huo. |
| Mambo yalikuwa full kujiachia kwa style mbalimbali. |
| Hiyo diyo bongo linavyokuja swala la party za usiku basi mambo tambalale |
| Habari ndiyo hii |
| Ni mambo ya warembo wakibongo hayo wanapendezaje |
| Jitiririshe mwenyewe na kujionea kilichotokea usiku huo wa Instagram party ndani ya Bongo Mjini. |

Post a Comment