DIAMOND KUCHEZA NGOLOLO KWENYE HARUSI YA PENNY HIVI KARIBUNI
DVJ
Penny ni mmoja kati ya watangazaji maarufu nchini ambaye wiki kadhaa
zilizopita picha zake zilisambaa mtandaoni zikimuonyesha akiwa
amevishwa pete ya uchumba huku mwanaume aliyefanya tukio hilo
akiwa ni kitendawili, hatimaye mwanadada huyo ameibuka na kumuweka wazi mpenzi wake…..
Akiongea
na mwandishi wetu, rafiki wa karibu wa Penny amesema kuwa
jamaa aliyemvalisha pete ni kigogo mwenye pesa chafu
anayemiliki migodi kadhaa ya madini anayefahamika kwa Jina la
Johnson raia wa Angola….
Rafiki huyo amesema kuwa kutokana na jeuri ya pesa ya kigogo huyo, Penny anatarajia kufanyiwa bonge la harusi na watafanya kila namna ili Diamond awe mtumbuizaji katika sherehe hiyo…
By- KantangazeBlog

Post a Comment