TUZO ZA BET 2014: DAVIDO ATWAA TUZO YA BEST AFRICAN ACT
Mwanamuziki kutoka Nigeria, Davido ametwaa tuzo ya BET ya Best
African Act iliyokuwa pia ikiwaniwa na msanii Diamond Platinumz wa
Tanzania. Katika kundi hilo pia walikuwemo Mafikizolo (Afrika Kusini),
Sarkodie (Ghana), Tiwa Savage (Nigeria) na Toofan (Togo).
Baada ya kutwaa tuzo hiyo, Davido aliandika hivi katika akaunti yake ya Instagram:

Baada ya kutwaa tuzo hiyo, Davido aliandika hivi katika akaunti yake ya Instagram:

Post a Comment