Rais mteule wa Simba, Evans Aveva amepata kura 1452, mpinzani wake Andrew Tupa kapata 387 na 6 zimeharibika. Ila taarifa zinasema kura bado zinahesabiwa hivyo kunaweza kuwa na mabadiliko
Post a Comment