ad

ad

PICHA ZA DAYNA NA NANDO ZAZUA MASWALI, NI MAPENZI AU KAZI?





Picha alizopost muimbaji kutoka mji kasoro bahari, Dayna Nyange Instagram zimevuta hisia za wengi ambao wamejiuliza maswali na kupata hisia kuwa kuna kitu kinanukia.

Dayna hajaweka wazi ni kitu gani kinachoendelea au kinakuja kinachomhusu yeye na Nando, lakini kuna usemi usemao ‘a picture speaks louder than words’, kwa maana kwamba picha peke yake hata isipokuwa na maelezo inaweza kutoa maelezo ya kinachoonekana, lakini ngoja tusubiri.

No comments

Powered by Blogger.