Mwanamziki anayekimbiza kwa sasa Jux usiku wa kuamkia leo amezindua video ya wimbo wake mpya Nitasubiri Club Billicanas jijini Dar. Alisindikizwa na Vanesa Mdee, Mr Blue, Cyril na Mirror na wengine kibao.
Post a Comment