ad

ad

MAJAMBAZI YAUA ARUSHA

Mwananchi mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja ameuawa kwa kupigwa
risasi na majambazi eneo na Clock Tower jijini Arusha. Majambazi hao walikuwa
wakipora kwenye Bureau Change iitwayo Nothern ambapo marehemu alikuwa
akipita jirani na eneo hilo na alipowaona alipiga kelele ndipo akafyatuliwa risasi kadhaa na kupoteza maisha.


No comments

Powered by Blogger.