ad

ad

WEMA SEPETU, DIAMOND WAKIJIACHIA CHUMBANI...PICHA ZIPO HAPA


MASUPASTAA ambao ni wachumba (wanasema wenyewe), Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ wakiwa katika pozi la kimahaba kitandani Naf
beach hotel.Picha hii Wema  ameitupia katika akaunti yake ya Instagram lna kuandika maneno yafuatayo "Thank God tumemaliza salama...Nd we are Happy it went well...Alahamdulillah....Baadae inshallah...Tulale kwanza alafu yale mapichapicha na kila kitu, leteeeeers.."

No comments

Powered by Blogger.