LULU AWATETEA MABOSI WAKWARE
STAA wa filamu ya Foolish Age, Elizabeth Michael
‘Lulu’ amewatetea mabosi wa wasanii
akidai si wote wana tabia ya ‘kuduu’ na wafanyakazi wao.
Staa wa filamu ya Foolish Age, Elizabeth Michael ‘Lulu’.
Akijibu swali aliloulizwa na paparazi wetu kuhusiana na mabosi wakware, Lulu alitiririka:
“Imezoeleka kuwa mabosi wote hawawezi kufanya kazi na msanii bila kuomba penzi,
si wote, wapo wasioomba,” alisema Lulu ambaye aliwahi kutajwa kuwa anatembea na
mmoja wa mabosi wake wa sasa.

Post a Comment