ad

ad

TAMASHA LA KILIMANJARO MUSIC TOUR 2014 LAWAKUNA WAKAZI WA MOSHI

Wakazi wa mji wa Moshi wakifuatilia tamasha la kwanza la ‘Kilimanjaro Music Tour 2014’ lililofanyika katika Viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika na Biashara (MUCCOBs). Kilimanjaro Music Tour inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.


Wasanii wa kundi la WEUSI toka Arusha wakiwapagawisha kwa burundani wakazi wa mji wa Moshi waliohudhuria katika uzinduzi wa tamasha la ‘Kilimanjaro Music Tour 2014’ katika Viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika na Biashara (MUCCOBs). Kilimanjaro Music Tour inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Young Killer akitoa
 burundani kwa wakazi wa mji wa Moshi waliohudhuria katika
 uzinduzi wa tamasha la ‘Kilimanjaro Music Tour 2014’ katika 
Viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika na Biashara (MUCCOBs). 
Kilimanjaro Music Tour inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Kala Jeremiah akifanya vitu vyake 
wakati wa tamasha la kwanza la ‘Kilimanjaro Music Tour 2014’ 
lililofanyika katika Viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika na Biashara (MUCCOBs). Kilimanjaro Music Tour inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Ney wa Mitego akitoa 
burudani ya aina yake wakati wa tamasha la kwanza la 
 ‘Kilimanjaro Music Tour 2014’ lililofanyika katika 
Viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika na Biashara 
(MUCCOBs). Kilimanjaro Music Tour inadhaminiwa na 
Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.

Wasanii wa Muziki wa Kizazi kutoka Kundi la Jambo Squad
 wakitoa burundani kwa wakazi wa mji wa Moshi waliohudhuria 
katika tamasha la kwanza la ‘Kilimanjaro Music Tour 2014’ lililofanyika 
katika Viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika na Biashara (MUCCOBs). Kilimanjaro Music Tour inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Ommy Dimpoz akitoa 
burdani kali kwa wakazi wa mji wa Moshi waliohudhuria katika
 tamasha la kwanza la ‘Kilimanjaro Music Tour 2014’ lililofanyika 
 katika Viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika na Biashara (MUCCOBs). Kilimanjaro Music Tour inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager. 

 Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Profesa Jay akiwapagawisha 
kwa burundani wakazi wa mji wa Moshi waliohudhuria tamasha la kwanza la ‘Kilimanjaro Music Tour 2014’ lililofanyika katika Viwanja vya Chuo
 Shirikishi cha Ushirika na Biashara (MUCCOBs). Kilimanjaro 
Music Tour inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Wasanii nguli wa Muziki wa Kizazi Kipya, AY na MwanaFA 
wakiwapagawisha kwa burundani wakazi wa mji wa Moshi waliohudhuria
 tamasha la kwanza la ‘Kilimanjaro Music Tour 2014’ lililofanyika katika 
Viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika na Biashara (MUCCOBs). Kilimanjaro Music Tour inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager. 
Msanii wa Muziki wa Taarabu, Khadija Kopa akitoa burudani kwa wakazi wa mji wa Moshi waliohudhuria tamasha la kwanza la ‘Kilimanjaro Music Tour 2014’ lililofanyika katika Viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika na Biashara (MUCCOBs). Kilimanjaro Music Tour inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
Wakazi wa mji wa Moshi wakifurahia tamasha la kwanza la ‘Kilimanjaro Music Tour 2014’ lililofanyika katika Viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika na Biashara (MUCCOBs). Kilimanjaro Music Tour inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Ben Pol akiwa na wacheza shoo wake wakitoa burundani kwa wakazi wa mji wa Moshi waliohudhuria katika uzinduzi wa tamasha la ‘Kilimanjaro Music Tour 2014’ katika Viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika na Biashara (MUCCOBs). Kilimanjaro Music Tour inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.

No comments

Powered by Blogger.