ad

ad

REKODI NA SIFA ZA KOCHA MPYA WA MANCHESTER UNITED

Louis Van Gaal ambaye alizaliwa miaka 62 iliyopita nchini Uholanzi anakuwa kocha wa kwanza
kabisa kutoka nje ya Uingereza na visiwa vyake kuifundisha klabu ya Manchester United.

Van Gaal amewahi kuvichezea vilabu vya Ajax, Royal Antwerp, Telstar, Sparta Rotterdam,
AZ Alkmaar, pia amewahi kuvifundisha vilabu vya Ajax ambapo alishinda vikombe vitatu vya ligi kuu, vikombe vitatu vya michuano ya Johanny Cruyff, kombe moja la Champions League, UEFA Cup
mara 1, na kombe la mabara vilabu mara 1.

Akatoka Ajax na kuhamia FC Barcelona ambapo alichangia sana kuwainua makinda akina
Lionel Messi, Xavi Hernandez na Andres Iniesta pamoja na kipa Victor Valdes – aliwawezesha
kushinda La Liga mara 2, UEFA SuperCup 1, Copa 1.
REKODI NYINGINE KAMA UNAVYOWEZA KUONA KWENYE PICHA.
1907627_10152470343587853_9142793400015469852_n

No comments

Powered by Blogger.