
Miili ya Recho na mwanae ikiwasili makaburi ya Kinondoni, Dar kwa maziko.

Jeneza la Recho likishushwa kaburini.

Udongo ukiwekwa kwenye kaburi la Recho.

Mashada ya maua yakiwekwa kwenye kaburi la msanii Recho wakati wa maziko yaliyofanyika makaburi ya Kinondoni, Dar.
Mchumba wa marehemu, George Saguda (kushoto) akiweka udongo katika kaburi la Racho na mwanae.
Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Nyerere akiweka shada la maua katika kaburi la Recho.
Waombolezaji wakiweka mashada juu ya kaburi.
Waombolezaji wakiwa katika simanzi.
Miili ya marehemu Recho na mwanae ikipelekwa eneo la makaburi.
Jeneza lenye mwili wa Recho likiwa tayari kushushwa kaburini.
Mazishi ya mtoto wa Recho.
Wasanii wa Bongo Muvi kutoka kushoto Aunt Lulu akiwa na wenzake.
Watumishi wa Mungu (katikati) wakifanya maombi wakati wa maziko.
Msanii Blandina Chagula 'Johari' akiweka udongo kaburini.
Mjomba wa marehemu, Evance Haule (kushoto) akiweka udongo katika kaburi la marehemu.
Ndugu wa marehemu wakiweka mchanga katika kaburi la marehemu Rachel Haule.
Mafundi wakichanganya zege.
Mafundi wakisawazisha zege.
Ndugu wa marehemu wakiweka mashada.
Mchumba wa marehemu George Saguda akiwa na simanzi nzito wakati akiaga mwili wa mchumba wake.
(PICHA NA RICHARD BUKOS, DENIS MTIMA, MAYASA MARIWATA, SHANI RAMADHANI, HAMIDA HASSAN, MUSA MATEJA, IMELDA TARIMO/GPL)
Post a Comment