BREAKING NEWS....GEORGE TYSON AFARIKI DUNIA...BONGO MUVI TENA DAAA!
George Tyson enzi za uhai wake.
Mwongozi
filamu na aliyekuwa mume wa msanii wa filamu Monalisa, George Tyson
amefariki dunia baada ya kupata ajali mbaya ya gari Morogoro akitokea
mkoani Dodoma.
Gari aliyopata nayo ajali Morogoro akitokea
mkoani Dodoma.
LIKE PAGE YETU HAPA KUPATA HAARI ZA HARAKA MUDA WOTE
Post a Comment