Mwili wa marehemu Adam Kuambiana utawekwa mahali hapa. Waombolezaji watakaa mahali hapa. Eneo hili ndipo mwili wa marehemu Adam Kuambiana utakapoagwa leo asubuhi kabla ya kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Post a Comment