HUYU RECHO NI TATIZO...JIONEE HAPA KATINGA NA KIPENSI CLUB SUN CIRO
Ni tatizo! Sexy lady wa Bongo Fleva, Winfrida Josephat ‘Recho’ ametia fora baada ya kutinga kipensi kilichoonesha sawia maungo yake nyeti.
Ishu
hiyo ya aibu ilijiri kwenye Ukumbi wa Sun Ciro uliopo Ubungo, Dar
ambapo kulikuwa na kinyang’anyiro cha kumsaka mlimbwende wa Chuo cha
Ustawi wa Jamii kilichopoDar huku Recho akiwa mtumbuizaji.
Kwa
mujibu wa mashuhuda wetu, Recho alipanda kwa steji kupiga shoo akiwa
ametingakivazi hicho ambacho kilikuwa ni sawa na ‘kufuli’ hivyo kuibua gumzo kwenye shindano hilo ambalo aliyeibuka kidedea ni Junis Ndalima.
Baadhi ya wanachuo wa Ustawi walionesha kushangazwa na tukio huku wakiweka wazikuwa msanii huyo ni tatizo.
Ijumaa Wikienda lilipomfuata kutaka kujua kulikoni ‘kutokelezea’ mbele za watu na
kipisi hicho cha kipensi hakuwa na jibu.
Stori: Mayasa Mariwata,Denis Mtima Na Nicolaus Trac

Post a Comment