tukishindana kwa kukaa meza moja na kumalizana, kisha tunaendelea sasa hili tumeshindwa nini?” alihoji Pinda Alisema:
“Walitoka bungeni na kusema
watazunguka nchi nzima, nasema wazunguke tu
kuwaeleza wananchi na sisi
hatutashindwa kuzunguka kwani hoja tunazo.”Waziri
Mkuu Pinda alitumia
nafasi hiyo kuelezea kauli aliyoitoa Waziri wa Nchi
Ofisi ya
Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi kwenye
Kanisa la Methodist kwamba hoja ya serikali tatu ikipita inaweza
kulifanya jeshi kuchukua madaraka.
Alisema nilimpigia simu nikamweleza: “Rudi mara moja ueleze kilichotokea
huko na nafikiri mlimsikia alichokisema.”Lukuvi
akitoa ufafanuzi bungeni
bila ya kuwapo kwa Ukawa alisema: “Nayasema
yote haya kwa kuwa
naamini huo ndio msimamo wangu na utakuwa msimamo
ambao
wakati wote utaendelea kuwa hivyo na ninawataka ndugu zangu kuacha
unafiki.”Kutokana
na kauli hizo, Ukawa inayoundwa na vyama vya Chadema,
CUF, DP na
NCCR-Mageuzi na wajumbe 25 kutoka kundi la 201 walitoka bungeni Jumatano
wiki hii na kuahidi kuzunguka nchi nzima kufanya mikutano ya hadhara
kuwaleza wananchi kilichotokea.chanzo mwananchi
Post a Comment