ad

ad

TASWIRA BAADA YA MLIPUKO WA BOMU JIJINI ARUSHA JANA

 Hali ya sintofahamu iliyowakumba wakazi wa jiji la Arusha baada ya bomu kulipuka jana.
 Mmoja wa maeruhi akiwa hoi baada ya mlipuko.
 Kijana ambaye hakufahamika jina lake baada ya kupata majeraha makubwa mguuni.
Majeruhi baada ya bomu kulipuka.

No comments

Powered by Blogger.