HARUSI YA MTOTO WA RAIS WA NIGERIA, WAGENI WAALIKWA WAPEWA IPHONE 5 KILAMMOJA
Hizi ni zawadi za iPhone 5 ‘Gold plated customized’ walizopewa wageni waalikwa.
Juu
ya maboksi yaliyokuwa na zawadi ya simu hizo pameandikwa ‘Leeberry and
her Prince wish you all the best for making our day beautifull. Thanx
for coming and God Bless you’
Maharusi Faith (katikati) na Godswill (kushoto) wakiwa na Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan.
Kibongo
bongo tumezoea mtu anapotaka kufunga ndoa lazima ipitishwe michango ya
kutosha ili kuweza kufanikisha sherehe, na pia mchango wako ndio huwa
kiingilio chako yaani bila kuchanga hupati mwaliko.
Mambo yamekuwa kinyume katika harusi ya mtoto wa kike wa Rais Goodluck Jonathan wa Nigeria aitwaye Faith, ambaye katika harusi yake iliyofanyika April 12, 2014 wageni walioalikwa wamefanyiwa mshangao kwa kupewa zawadi ya simu za iPhone 5 ‘Gold plated customized’, zilizoandikwa majina ya maharusi hao Faith na Godswill.
CHANZO NI BONGO 5

Post a Comment