SHILOLE ANA MAUNO MPAKA RAHA,ACHEZA NDOMBOLO KWA KUYAKATA MAUNO HASWA, TAZAMA PICHA HAPA
Eeh shilole kiuno jamany anavisa, haya leo kaamka asbh asbh akaanza na
mbwembwe, kawasha radio na kuweka nyimbo ya kiwasensa na
ndombolo huku akianza kukata mauuno, guys message from shilole, lyf is
too
short so sometimes guys unaweza ukaamka asbh ur so stressful, so
unachotakiwa kufanya ni kufungulia muziki na kuanza kucheza huku ukijipa
raha mwenyew haha.
Post a Comment