NDOA YA WEMA, DIAMOND AGOSTI MWAKA HUU
MTABIRI mwenye jina kubwa kwa sasa Bongo, Maalim Hassan Yahya Hussein
ambaye ni mrithi wa kazi za marehemu Yahya Hussein ameibuka wiki hii na
kuanika kwamba, Agosti mwaka huu Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Wema Sepetu
watafunga ndoa.
Akaongeza: “Kama wapo kwenye mipango au maandalizi wakazane, kwani mwezi Agosti ndiyo wenyewe kwa mujibu wa nyota za wote.
Maalim Hassan aliendelea kuweka wazi kwamba, vikwazo vyote ambavyo vilikuwa vikiwazunguka wawili hao, kwa mujibu wa nyota zao, vimetoweka, akimaanisha havipo tena.
Wapendanao Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Wema Sepetu katika pozi la kimahaba.
Akizungumza na Amani jijini Dar es Salaam juzikati, Hassan alisema
amepiga mahesabu ya kinyota kwa wapenzi hao na kubaini kuwa, Agosti ndoa
yao itafungwa mahali popote nchini Tanzania.Akaongeza: “Kama wapo kwenye mipango au maandalizi wakazane, kwani mwezi Agosti ndiyo wenyewe kwa mujibu wa nyota za wote.
Wema.
“Lakini nawapa angalizo muhimu, wakae wakijua kwamba kama ndoa hiyo
haitatimia Agosti kutokana na sababu zao wenyewe, haitafungwa tena hadi
mwaka 2016, kwa sababu lazima ndoa yao iwe kwenye mwaka unaogawanyika.”Maalim Hassan aliendelea kuweka wazi kwamba, vikwazo vyote ambavyo vilikuwa vikiwazunguka wawili hao, kwa mujibu wa nyota zao, vimetoweka, akimaanisha havipo tena.

Post a Comment