JACQUELINE WOLPER AANGUSHA MAOMBI KANUMBA DAY
MKALI katika anga la sinema Bongo, Jacqueline Wolper ameangusha sala nzito kumkumbuka marehemu Steven Kanumba.
“Ni mhimili mkubwa katika tasnia yetu, hatuna budi kumuombea huko aliko aendelee kupumzika kwa amani, mbele yake nyuma yetu,” alisema Wolper.
Jacqueline Wolper akisali nyumbani kwake na katika kaburi la Kanumba.
Wolper alifanya maombi hayo juzi Jumatatu ambapo sala hizo alizifanya
nyumbani kwake, kisha akaelekea katika kaburi la Kanumba, Kinondoni
jijini Dar kumalizia maombi yake.“Ni mhimili mkubwa katika tasnia yetu, hatuna budi kumuombea huko aliko aendelee kupumzika kwa amani, mbele yake nyuma yetu,” alisema Wolper.

Post a Comment