Snura Mushi 'Mamaa Majanga' akifanya yake stejini usiku huu ndani ya Dar Live. Mshereheshaji wa shughuli ya leo, Maimartha wa Jesse akiendesha mambo ndani ya Dar Live. Mtanga akionyesha umahiri wake katika kusakata sebene.
Post a Comment