LULU ALIA NA MATAPELI WANAOTUMIA JINA LAKE KUCHANGISHA MICHANGO YA KANUMBA
Msanii wa filamu Elizabeth ‘Lulu’ Michael amesikitishwa na watu wanaotumia akaunti fake zamitandao ya kijamii yenye jina lake na kuchangisha michango kwaajili ya mfuko wa marehemu
Steven Kanumba kwa madai kuwa wanasaidia wasiojiweza.

Kupitia Instagram, Lulu amesema:
“Dah sijui niseme vipi…hizi facebook accounts sio zangu…kama huyu anaomba
michango eti…dah the same account ipe post video ya ex…..na ziko account nyingi sana….now mm sina account yoyote facebook nina fan page moja tu
ELIZABETH LULU MICHAEL….kwahiyo kuweni makini na hao matapeli…na nyie mnaotumia jina langu vibaya I thnk it[s time to leave me alone…kwa hayo mapenzi ya kutumia jina langu
ovyo nimeshindwa mm…..”
Post a Comment