KUTANA NA MASOGANGE WA KENYA, CORAZON KWAMBOKA, UMBO LAKE LINAWAFANYA WANAWAKE WENGI WAMNUNIE
Kama girlfriend wako akikuona unaongea na Corazon Kwamboka, hakuna shaka kuwa roho yake lazima imdunde juujuu kwakuwa wazo la kwanza litakalomuijia kichwani ni kuwa himaya yake ipo matatani. Corazon Kwamboka ambaye ni mwanasheria by profession, ameiteka blogsphere ya Kenya kwa umbo lake matata na kuvutia kama la Agnes Masogange. Hii imewafanya wasichana wengi wa Kenya wamuonee wivu na kumsema vibaya. Jionee mwenyewe.
PATA NEWS NA SIMULIZI FASTA, LIKE PAGE YETU HAPA ==> 2JIACHIE
PATA NEWS NA SIMULIZI FASTA, LIKE PAGE YETU HAPA ==> 2JIACHIE









Post a Comment