HE! MMEWAONA CHUCHU NA RAY? ETI KAMA KIM NA KANYE
KUKOPI na kupesti bila kuboresha! Mastaa wenye mapenzi kama ya njiwa kutoka kiwanda cha filamu za Kibongo, Chuchu Hans na Vincent Kigosi ‘Ray The Greatest’ wamekuwa wakitupia swaga za picha kama zile za Kim Kardashian na mwandani wake, Kanye West.
Wasanii wa filamu za Kibongo, Chuchu Hans na Vincent Kigosi ‘Ray The Greatest’ wakijiachia.
Kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii, Chuchu na Ray ambao majina
yao yameunganishwa na kuwa Chura wamekuwa wakichukua sampo za picha za
akina Kim nao kujifotoa kisha kuzisambaza.
CREDIT: GPL

Post a Comment