Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akichanganya udongo wa
Tanganyika na Zanzibar kama ishara rasmi ya kuunganisha nchi hizo mbili
miaka 50 iliyopita. 2JIACHIE imnaungana na Watanzania duniani
kote kusherehekea siku hii adhimu kwa kuwatakia
HAPPY MUUNGANO DAY
Post a Comment