CHOMBEZO: MPANGAJI SEHEMU 17
ILIPOISHIA
Wakati
nimebakiza wiki moja niondoke pale nyumbani,likatokeza tatizo kubwa jingine.
Hili ni tatizo kubwa kuliko matatizo yote niliyowahi kuyapata maishani mwangu.
Tatizo hili naweza sema ndilo haswaa,lililonifanya nione Arusha chungu na mbaya
sana kuliko mikoa yote niliyowahi kutembelea.
“SHEILA”.Acha
nimtaje kwa herufi kubwa kwani bila yeye,leo mimi sijui ningekuwa wapi katika
maisha haya mazuri ya kuajiriwa na serikali pamoja na makampuni makubwa
duniani. Huyu kasababisha mimi nisiwe tena na maisha hayo. Najua wajiuliza
kivipi,ila ngoja nikuhadithie sasa.
************
Ikiwa
imebaki wiki moja mimi kuondoka pale nyumbani. Huyu Sheila alianza kunitega.
Tena mitego yake ile ya Farida ilikuwa cha mtoto. Si mwajua huyu alikuwa kama
chipukizi vile,yaani chuchu ziwa konzi,kiuno kilichoingia ndani kama dondora na
huku chini kuna matufani yaliyokuwa yamejipanga kinoko-noko hasaa. Yaani mmmmh!
Acheni jamani.
Siku hiyo
asubuhi na mapema niliamka kama kawaida yangu na kuanza kutalii mazingira ya
pale nyumbani. Wakati nashangaa shangaa,mara nikamuona Sheila anatoka nyuma ya
nyumba na fagio kubwa la kufagilia uwanja. Sikushangaa kwani ilikuwa ni tabia
yake kila asubuhi kufagia uwanja. Alinipita bila hata kunisalimia na kuingia
ndani kwao.
Nahisi siku
hiyo baba yake hakurudi nyumbani,maana alipoingia alitoka tena,lakini safari
hii alivyotoka kwa kweli sikumuelewa hata chembe.
Alikuwa
katoa ile sketi yake anayoitumia kufanyia kazi na alivaa khanga moja tu!.
Khanga ambayo ukiingalia sana,utagundua kuwa inaonesha hadi maungo yake. Sasa
ni kheri angekuwa anaenda labda bafuni,lakini haikuwa hivyo. Alikuja kwangu
moja kwa moja.
“Leo P
sijakusalimia jamani”.Alianza kihivyo huku macho yake yakiwa yanazunguka zunguka
kiurembo zaidi.
“Nashangaa”.Nilimjibu
na kuendelea kuwa bize na mambo yangu.
“Na wewe
hata unishtui bwana”.Bado aliendelea kuniongelesha huku yale macho yake
yakizidi kuranda randa na kurembuka.
“Mi
nishawazoea. Mbona hata dada yako naye simuoni”.
“Aaagh,huyo
achana naye. Kwanza unajua siku ya tatu leo halali ndani?”.
“Ama
nini?Ina maana kajihalalisha tabia yake?”.Nilimuuliza.
“Huyo
kishazoea mambo hayo. Mimi sitaki hata kumsikia”.Alinijibu.
“Mtajua
wenyewe bwana. Ili mradi kaniacha salama na nimemuacha salama”.Na mimi
niliongezea.
“Aaah!.Prince
nikwambie kitu”.Ghafla Sheila alitoka kwenye yale maongezi.Akaanza kama
kujikuna mguu,na baadae aliongea huku macho yake yakiwa yamerembuka kupita
kawaida.
“Nini mdogo
wangu?”.Nilijua nia yake.Ili kumkatisha nilimuita mdogo wangu.Lakini haikufua
dafu. Sheila alikuwa kadhamiria hasaa.
“Naomba
unisaidie P. Hapa kwenye mguu wangu pawasha”.Aliongea hayo huku anakuja pale
kwenye kibaraza nilipo na kunipa mgongo kisha akafunua khanga yake na kuonesha
sehemu ambayo anasema inawasha.
Ile khanga
aliifunua vizuri kwelikweli,ingekuwa midume mingine kama huyu anaesoma,palepale
angeanza mambo mengine. Ila kwa P,ilikuwa kitu cha kawaida sana.
“Hapa
au?”.Nilishika lile eneo analosema linawasha na kumuuliza kama ndipo pale.
“Hapo kwa
juu kidogo”.Aliongea kwa sauti ya chini huku mguu wake nimeushika mimi.
“Hapa?”.Niliuliza
tena baada ya kugusa kwa juu yake.
“Kidogo tena
juu”.Aliziidi kupanda. Hadi hapo tayari tulishavuka maeneo ya maungio ya
mguu,na sasa alionesha sehemu inayowasha kuwa ni paja lake. Paja nono,paja
jeupeee.
Kidume
nikameza mate ya uvumilivu na kupiga moyo konde. Na nilichukulia yale ni
majaribu tu!
Nikapanda
hadi juu alipotaka. Mmmh! Kama majaribu ndio yapo vile,basi yale yalizidi
kipimo.
Eti
nilipogusa pale aliposema,mara akapandisha khanga yake hadi juu ya mapaja. Ha
ha haaaa,wajua nini mpenzi msomaji?. Hawa watoto wa kike waacheni kama
walivyo,wakiwa wamepandwa na maruhani yao sijui wanakuwaje.
Kumbe ndani
bwana alikuwa hajavaa chupi wala nini. Mi nilidhani labda pale mwanzo niliona
uongo maungio yake,lakini wala,ilikuwa
ni kweli. Alikuwa hajavaa chupi aisee.
Basi ile
kupandisha khanga yake juu,eeh bwana si nikaona pango lake!. Tena likiwa ndiyo
kwaanza linaanza kuota vinyweleo. Pango lipo safi kichizi,halafu limejibana
hatari. Hata pale aliponiambia hapa ndio panawasha huku anatanua miguu
yake,bado lile pango lilikuwa limefungika,yaani ule mlango ulikuwa bado
hauonekani.
“Shei.
Unanizingua bwana. Mimi huko siwezi”.Ilibidi kamanda nijidai bwege tu!Maana
ningejidai naendelea kuuliza,mara ningegusa na lile pago.
“Bwana
P,ndio hapohapo,we nikune tu!”.Aliongea sauti ya puani hadi nikahisi huyu mtoto
anaweza kufa kwa sauti hii ilivyobadilika.
Basi kwa
haraka,nikakuna pale aliponiambia na kisha nikanyanyuka ile sehemu niliyokuwa
nimepiga goti na kuingia zangu ndani kwangu bila kuaga wala nini.
Nadhani hali
ile ilimtia mashaka Sheila,alihisi labda tayari nilikuwa nimepata hasira au
nimemuhisi vibaya.Lakini hiyo yote ilikuwa sivyo,nilikuwa namvutia ndani
makusudi. Mtoto kama yule na uzuri kama ule hawezi kupita hivihivi kwa Master P
bila kupewa mdudu. Unacheza na mimi nini?
Chombezo linazidikunoga hakikisha haikupiti hata siku moja.
:: Endelea ku LIKE PAGE YETU na ku COMMENT chombezo hili kali na lakusisimua.
:: Kwa wale watakaokuwa waki SHARE 100 wa kwanza nitawapa kipaumbele kwa kuwa TAG chombezo hili kila litakapokuwa likitoka litakuwa katika wall yao.
ANGALIZO ::
**Chombezo hili litakuwa likitoka kila siku kuanzia saa nne usiku kasoro siku ya Jumapili na Jumatano tu.
:: Kwa wale watakaokuwa waki SHARE 100 wa kwanza nitawapa kipaumbele kwa kuwa TAG chombezo hili kila litakapokuwa likitoka litakuwa katika wall yao.
ANGALIZO ::
**Chombezo hili litakuwa likitoka kila siku kuanzia saa nne usiku kasoro siku ya Jumapili na Jumatano tu.
MPANGAJI sehemu ya 18
itaendelea tena kesho HAPA.
PATA NEWS NA SIMULIZI FASTA, LIKE PAGE YETU HAPA ==> 2JIACHIE

Post a Comment