BAADA YA KUSHINDA TUZO NA KUJA KWA NEGATIVE COMMENTS ZA WATU…HIKI NDICHO ALICHOANDIKA WEMA SEPETU
Hata
masaa 24 hayajapita tangu akabidhiwe tuzo yake ya sexiest girl tayari
inaonekana ameshakutana na negative comments baada ya kushinda hiyo
tuzo.
Kwenye mashindano hayo alikuwa na
warembo wenzake Jokate,Lulu,Nelly Kamwelu,Jackline Wolper hatimaye
alifanikiwa kushinda tuzo hiyo.
Wema ametumia ukurasa wake wa instagram kutoa yaliyo moyoni mwake na ameandika,
“If u got it flaunt it….. Ndo nshashinda…. kama hujapenda kasage chupa kunywa…. maana naona sasa its too much khaaaaaaaa.!
Ebu
mnitue mie mtoto wa watu… And again much love to y’all dat support me…
nawapenda sana…. nimemaliza…. Award yangu ndo hiiiiiiiiooooooooo…… next
year tusubiri mwingine.
Nalala
zangu…. tukutane kesho…. najua wengi mnanipenda ni wachache wenye
vijiba vyao vya roho…. Wema atabaki kuwa Wema tu… Bhaaaaas.”
Post a Comment