ad

ad

YANGA SC WALIPOALIKWA CHAKULA CHA MCHANA WILAYANI BAHI NA MKUU WA WILAYA BAHI MH. BETTY MKWASA WAKATI WAKITOKEA MJINI TABORA

 Betty Mkwasa akiwa na wachezaji wa Yanga nyumbani kwake Bahi.
 Mkurugenzi wa Fedha Eliya Jonas akiwa na Beey Mkwasa pamoja na Cannavaro — in Bahi.

 Mkuu wa Wilay Bahi Betty Mkwasa akiwakaribisha viongozi na wachezji w Yanga wilayani Bahi
 
Mama aliwapa zawadi vijana nyama za kuchoma, maji, soda, juice, karanga za kuchemsha, wine nk
— in Bahi.

Tegete na Betty Mkwasa 
PICHA ZOTE NA YANGA SC, BAI

No comments

Powered by Blogger.