MAKAMU WA RAIS,DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI KANDA YA ZIWA,JIJINI MWANZA LEO
Mgeni Rasmi katika Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa,Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal akitoa
hotuba yake wakati wa Ufunguzi wa Kongamano hilo,uliofanyika mapema leo
kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Malaika,Jijini Mwanza.
Mwenyekiti
wa Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa,Mh. George Kahama akitoa hotuba
yake wakati wa Ufunguzi wa Kongamano hilo,uliofanyika mapema leo kwenye
Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Malaika,Jijini Mwanza.
Mkuu
wa Mkoa wa Mwanza,Mh. Evarist Ndikilo ambaye ndie Mwenyekiti wa Kamati
ya Maandalizi ya Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa,akizungumza na
washiriki wa Kongamano hilo (hawapo pichani) wakati ufunguzi wake
uliofanyika leo kwenye Hoteli ya Malaika,Jijini Mwanza.
Waziri
wa Viwanda na Biashara,Mh. Abdallah Kigoda akizungumza machache kabla
ya kumkaribisha Mgeni Rasmi kuja kuzungumza na Washiriki wa Kongamano
hilo,jijini Mwanza leo.
Balozi
wa Afrika ya Kusini nchini Tanzania,Mh. Thamduycse Chilliza (katikati)
akifatilia Kongamano hilo sambamba na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha
Uwekezaji Nchini (TIC),Julieth Kairuki (kushoto).Kulia ni Msaidizi wa
Balozi wa Afrika Kusini,Terry Govender.
Waheshimiwa Mawaziri wakishiriki pamoja na Wajumbe wa Kongamano hilo,kuimba wimbo wa Taifa.
Baadhi ya waheshimiwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya.
Wadau wa Bodi ya Utalii.
Washiriki mbali mbali wa Kongamano hilo.
Watumishi wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa.
Wadau wakifatilia kwa umakini Kongamano hilo.
Picha ya pamoja na Waheshimiwa Mawaziri na Wakuu wa Mikoa.
Picha ya Pamoja na Watumishi wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa.
Picha ya Pamoja na Baadhi ya wawekezaji.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini,Julieth Kairuki (mwenye fulana
nyeupe) akionyesha kitu kwa Makamu wa Rais,Dkt. Mohammed Gharib Bilal
wakati alipokuwa anakenda kutembelea Mabanda ya wawekezaji mbali mbali
wanaoshiriki kwenye Kongamano la Uwekezaji,jijini Mwanza.
Makamu
wa Rais,Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kulia) akisikiliza maelezo kutoka
kwa Meneja wa Kituo cha Uwekezaji Kanda ya Ziwa,Fanuel Lukwaro (wa pili
kulia) wakati alipotembelea Banda la Kituo hicho kwenye Maonyesho ya
Kongamano la Uwekezaji yanayoendelea kufanyika jijini Mwanza hivi
sasa.Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Mh. Everist Ndikilo na kulia kwa
Makamu wa Rais ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini,Julieth Kairuki.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini,Julieth Kairuki akimueleza jambo Makamu wa Rais,Dkt. Mohammed Gharib Bilal.
Makamu
wa Rais,Dkt. Mohammed Gharib Bilal akipatiwa maelezo ya Kibenki toka
kwa Meneja wa Akaunti wa Benki ya EcoBank,Saleh Said wakati
alipotembelea banda hilo.
Makamu wa Rais katika Banda la PPF.
























































Post a Comment