PSPF KWA KUSHIRIKIANA NA FLAVIANA MATATA FOUNDATION WAKABIDHI VIFAA VYA SHULE KISARAWE
wa Pwani wakifurahia zawadi za madaftari pamoja na mabegi vilivyotolewa na Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) kwa kushirikiana taasisi ya Flaviana Matata Foundation kwa ajili ya kuwasadia watoto wanaoishi katika mazingira magumu mkoni humo. Katikati ni mwanzilishi wa taasisi hiyo, Flaviana Matata. Hafla hiyo ilifanyika wilayani Kisarawe, mwishoni mwa wiki.
Mwalimu wa Shule ya Msingi
Kimanzichana iliyopo Wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani, Kulwa Kijangwa
akipokea msaada wa vifaa vya shule kutoka kwa Ofisa Mahusiano na Masoko
wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), Hawa Kikeke
uliotolewa kwa kushirikiana na taasisi ya Flaviana Matata Foundation
kwa ajili ya kuwasadia watoto wanaoishi katika mazingira magumu humo.
Katikati ni mwanzilishi wa taasisi hiyo, Flaviana Matata. Hafla hiyo
ilifanyika wilayani Kisarawe, mwishoni mwa wiki.
Wanafunzi
wa Shule ya Msingi Chanzige iliyopo Wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani
wakicheza ngojela mbele ya wageni wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya
shuleni hapo.
Wapigapicha wakiwa kazini.
Mwanamitindo Flaviana Matata akiwa katika picha ya pamoja na watoto wanaosoma katika Shule ya Msingi Chanzige ambao wanaoishi katika mazingira magumu wilayani Kisarawe. Taasisi ya Flaviana Matata Foundation kwa kushirikiana na PSPF walikabidhi vifaa mbalimbali vya shule kwa ajili ya watoto hao.(Picha na Francis Dande)

Post a Comment